January Makamba ameamua kutumia siku hizi 6 kuwa na watu wake wa Bumbuli.




 
IMG-20150505-WA0007January Makamba ni miongoni mwa wabunge ambao kwa sasa wako kwenye headlines za kugombea Urais kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Tanzania kwa siku chache zilizopita ameamua kuzitumia kuwa na watu wa Jimboni kwake Bumbuli.
IMG-20150505-WA0005Baada ya kumaliza mkutano wake kwenye kata ya Tamota baadhi ya viongozi wa dini wakiongozwa na  Mchungaji Amasia Mweta na Sheikh Amiri Yahaya Shekibula waliamua kumfanyia maombi maalum January Makamba.
IMG-20150505-WA0006Wakazi wa jimbo la Bumbuli,wilaya ya Lushoto wameamua pia kumuunga mkono mbunge wao huyo endapo kama ataamua kugombea Urais,ziara ya January Makamba ni ziara ya siku 6 jimboni kwake imeanza March 06.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment