&&&& Messi anatarajia kupata mtoto wa pili… kama ulikua hujawahi kumuona mama mke wake ndio huyu.&&&&

Lionel Messi and wife 
Kama hii ni miongoni mwa ulizozimis, ripoti za Argentina zinasema staa huyu wa soka kutoka club ya Barcelona Lionel Messi pamoja na mpenzi wake Antonella Roccuzzo wanatarajia kupata mtoto wao wa pili.
Wameshajua tayari kwamba ni mtoto wa kiume atazaliwa na watamuita Benjamin wakati yule wa kwanza anaitwa Thiago ambapo Messi alithibitisha kupitia page yake ya instagram kwa kuandika ‘tunakusubiria baby, tunakupenda’


messi 2
Messi 1
An 1   an 4
Leo Messi and Antonella Roccuzzo at the FIFA Ballon d'Or 2013 gala at the Kongresshalle in Zurich, Switzerland, on January 13, 2014.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment