Watu maarufu 20 duniani wenye mashabiki wengi zaidi Facebook


Leo December 20, 2016 kupitia FANPAGELIST wametoa list ya mastaa 20 wakiwemo wanasoka, wacheza filamu na mastaa wa muziki wanaoongoza kwa kuwa na mashabiki wengi zaidi duniani, list hiyo imeongozwa na mwanasoka staa Cristiano Ronaldo anayeichezea club ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Ronaldo amewapita mastaa wakubwa wa muziki akiwemo Justin Bieber ambaye ameshika nafasi ya 7 wakati mpinzani wake mkubwa kwenye soka Lionel Messi ametajwa kwenye nafasi ya 5, staa mwimbaji Rihanna ameshika nafasi ya 6 na staa muigizaji na muimbaji Selena Gomez ambaye anaongoza kwa kuwa mashabiki wengi zaidi Instagram, huku ameshika nafasi ya 17.
Full List nimekuwekea hapa.
most-followed-1most-followed-2most-followed-3most-followed-4
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment