Mkimbizi kutoka Afghanistan amewauwa watu 12 na kujeruhi wengine 48 kwa kuwagonga na lori lenye uzito wa tani 25 katika soko la manunuzi ya bidhaa za Krismasi Mjini Berlin.
Mtu huyo ambaye aliteka lori hilo kutoka kwa dereva wake ambaye alikutwa akiwa ameuwawa kwenye lori, inasemekana aliwasili Ujerumani mwezi Februari mwaka huu.
Magari ya wagonjwa yakiwa katika sehemu ya tukio pembeni ya lori lililogonga watu
Vikosi vya usalama na zimamoto vikiwa katika eneo la tukio vikiondoa watu waliojeruhiwa
Mti wa Krismasi ukiwa umeanguka chini baada ya kugongwa na lori hilo
0 comments:
Post a Comment