VideoMPYA: Nay wa Mitego katuletea hii video mpya ‘Sijiwezi’


Ni Headlines za msanii wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego ambae leo Dec 15, 2016 ameachia video ya single yake mpya iitwayo ‘Sijiwezi’.
Unaweza ukaitazama hapa kisha usisahau kutuandikia comment yako ili mkali huyo akipita hapa aone maoni kutoka kwa watu wake.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment