VideoMPYA: Ipokee ‘For You’ kutoka kwa Chidinma…


Mwanadada msanii kutokea NigeriaChidinma anayefahamika kama ‘Miss Kedike’ ambae ameshafanya collabo na rapper wa Tanzania Joh Makini kwenye single ya ‘Perfect Combo‘ amerudi tena kwenye air waves na ngoma yake mpya ya ‘For You’.
Nimekuwekea video ya mdundo huo hapa chini bonyeza play uweze kuitazama …
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment