Ni kutoka kwenye Kanisa kuu la moyo mtakatifu wa Yesu kwenye mkoa wa Singida ambapo Rais Magufuli na mke wake Mama Janeth Magufuli wamesali ibada ya Christmas ambapo pia Baba Askofu wa jimbo la Singida Edward Mapunda alimuombea Rais.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment