TBT: Picha za utoto za mastaa wa soka Dzeko, Hulk, Falcao, David Luiz na Chamberlain


Alhamisi ya December 15 2016 mtu wangu naomba nikusogezee TBT picha za mastaa wa soka, leo naomba nikusogezee picha za utoto za staa wa wa Arsenal Alex Chamberlain, staa wa zamani wa Man City Eden Dzeko, mshambuliaji wa zamani wa Chelsea na Man United Radamel Falcao.
Wengine ambao nimefanikiwa kupata picha zao za utoto ni mkali wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil David LuizHulk wa timu ya taifa ya Brazil na timu ya Shanghai SIPG ya Chinaunaweza kutazama kumbukumbu ya picha zao za utoto hapo chini mtu wangu.
gettyimages-491898628
Radamel Falcao
col-falcao-a
Radamel Falcao
ST ALBANS, ENGLAND - SEPTEMBER 22: Alex Oxlade-Chamberlain of Arsenal during a training session at London Colney on September 22, 2015 in St Albans, England. (Photo by Stuart MacFarlane/Arsenal FC via Getty Images)
Alex Chamberlain
eng-oxlade-chemberlane-a
Alex Chamberlain
brazil-captain-david-luiz-apologizes-to-his-country-in-tearful-post-game-interview-video
David Luiz
bra-luiz-a
David Luiz
451119066
Hulk
bra-hulk-a
Hulk
2w993c0-sport
Eden Dzeko
bos-dzeko-a
Eden Dzeko
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment