Tarajia kuipokea albam ya kwanza ya Victoria Kimani (SAFARI) December hii


Mrembo anayeiwakilisha Kenya na Afrika  Mashariki vizuri kwenye soko la mziki kimataifa, Victoria Kimani anatarajia kuachia albam yake ya kwanza itakayoitwa ‘Safari’ na anategemea kuiachia rasmi Dec4, 2016 ambayo pia ni siku ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi.
Victoria alitumia mtandao wake wa Instagram kuwapa mashabiki wake habari hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment