
Idris alitumia ukurasa wake wa Instagram kueleza furaha aliyo nayo baada ya kupata taarifa ya kuwa host kwenye tuzo hizo.
Mwaka 2016 pia Idris Sultan alichaguliwa kuwania kutangaza katika tuzo za MTV Mama Awards ambazo hakushinda na zilitangazwa na Bonang Matheba wa Afrika Kusini.
0 comments:
Post a Comment