Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola, amesema kuwa hajui iwapo atapatiwa muda anaohitaji kuijenga timu yenye mafanikio katika dimba la Etihad Stadium.
Kipigo kutoka kwa Leicester City jumamosi, kilikuwa ni kipigo cha pili mfululizo katika Ligi Kuu ya Uingereza wakinolewa na Guardiola.
Manchester City wapo nyuma ya vinara Chelsea kwa pointi saba na wameshinda michezo minne kati ya michezo yao 15 katika michuano yote.
0 comments:
Post a Comment