Likiwa na urefu wa mita 601, Abraj Al Bait ni hoteli ndefu zaidi duniani. Ina ukubwa wa mita za mraba, 1,500,000 na yenye uwezo wa kuchukua watu 100,000.
Linajulikana pia kama Makkah Royal Clock Tower. Jengo hilo pia lina saa ndefu na kubwa zaidi duniani na linaweza kuonekana kutoka umbali wa kilomita 30.
2. Marina Bay Sands, Marina Bay, Singapore
Thamani yake ni dola bilioni 5.50
Kwa gharama ya dola bilioni 5.50, Marina Bay Sans ndio resort yenye thamani kubwa zaidi kuwahi kujengwa. Inajumuisha majengo matatu yenye ghorofa 50.
3. Resorts World Sentosa, Singapore
Thamani yake ni dola bilioni 4.93
4. Emirates Palace, Abu Dhabi, UAE
Thamani yake ni dola bilioni 3.90
5.Cosmopolitan of Las Vegas, Las Vegas, Marekani
Thamani yake ni dola bilioni 3.90
6. One World Trade Centre, New York, Marekani
Thamani yake ni dola bilioni 3.80
7. Wynn Resort, Las Vegas, Marekani
Thamani yake ni dola bilioni 2.70
8. Venetian Macau, Macau, China
Thamani yake ni dola bilioni 2.40
9. City of Dreams, Macau, China,
Thamani yake ni dola bilioni 2.40
10. Princess Tower, Dubai, UAE
Thamani yake ni dola bilioni 2.17
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment