Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akiongozana na wasaidizi wa Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong, wakati alipofika kwenye Kasri la Mfalme huyo kwa utambulisho maalum kwa Mfalme huyo.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akiwasilisha hati ya utambulisho wake kwa Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong, wakati wa hafla fupi ya utambulisho iliyofanyika kwenye Kasri la Mfalme huyo, hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Malaysia Dkt. Ramadhani Dau, akipokea salamu maalum za kijeshi wakati alipofika kwenye Kasri la Mfalme wa Malaysia, Yang di-Pertuan Agong, kwa utambulisho wake
0 comments:
Post a Comment