Wasanii wanaounda kundi la ‘Navy Kenzo’ wameachia orodha ya nyimbo zitakazo kuwepo kwenye album yao mpya ‘Above in a minute’...
Album hiyo ambato inatoka mwezi huu wa Disemba itakuwa na nyimbo 11, huku kukiwa na collabo za wakali wengine kama Alikiba, Patoranking,Wildad, Rosa Ree, Mr Eazi na R2Bees.
Mashairi ya nyimbo za kwenye album hiyo yameandikwa na Aika na Nahreel wenyewe huku kukiwa namchango kutoka kwa Nikki wa Pili, G Nako, Wildad, Rosa Ree na Barnaba.
0 comments:
Post a Comment