HII NDIO MOPANGO YA LADY JAY DEE NA MPENZI WAKE MPYA


Mchumba wa Lady Jaydee kutoka Nigeria amesema anaitwa Spice kutoka Nigeria amesema yeye ni mwanamuziki na wanampango wa kufanya mambo makubwa na ady Jaydee ambayo hakuyataja ila akasema watu watarajie
Amesema anampendea lady JD kwa kuwa yupo simpla na mnyenyekevu na japokuwa anatabia ya kununanuna ana dawa yake

VIDEO:


Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment