Makumi ya maefu ya watu wakiwa wamekusanyika katika eneo la Revolution Square wakisikiliza hotuba zilizokuwa zikitolewa na wakuu wa nchi na watu wengine mashuhuru katika kumuenzi kiongozi wa mapinduzi ya taifa hilo Fidel Castro.
Rais wa Cuba Raul Castro akitoa hotuba yake mbele ya wananchi waliokusanyika Revolution Square
Muigizaji wa filamu Mmarekani Danny Glover ambaye ni miongoni mwa watu wakaribu wa marehemu Fidel Castro akiwa miongoni mwa wageni
Askari polisi wa kike wakiwa na picha za marehemu Fidel Castro katika eneo la Revolution Square
Mwanasiasa wa Urusi Vyacheslav Volodin akihutubia umma nyuma yake wakiwa viongozi mbalimbali
Amir wa Qatar Hamad bin Jalifa Al Than akisalimiana na viongozi wa dunia
0 comments:
Post a Comment