MABONDIA DAVID HAYE NA TONY BELLOW WATAKA KUZICHAPA MBELE YA WAANDISHI WA HABARI


Bondia David Haye amemrushia konde mpinzani wake, Tony Bellew katika mkutano wa waandishi wa habari huku akimponda kuwa hana uwezo wa kupambana naye.

Mabondia hao ambao pambano lao lisilo la kutetea mkanda wowote litafanyika Machi 4 katika ukumbi wa 02 Arena Jijini London nusura wazichape kavukavu.

Licha ya kumrushia konde Bellew, Haye alimponda mpinzani wake huyo na kusema hahitaji maandalizi yoyote zaidi ya kwenda kujirusha klabu na wakikutana atamdunda.
                                    Bondia David Haye akimrushia konde bondia Tony Bellow 
                                              Mabondia David Haye na Tony Bellow wakiamuliwa
       HUNITISHI BWANA:  Tony Bellow akimsemea mbovu David Haye baada ya kumponda
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment