Baada ya kuachia collabo yako na Tinashe ‘How long‘ siku chache zilizopita Davidoamerudi tena na ngoma mpya iliyobeba title ‘Coolest kid in Africa’alimshirikisha Nasty cchini ya Director Sesan.
Unaweza kuitazama nimekuwekea hapa chini bonyeza play kuitazama.
0 comments:
Post a Comment