Ukweli wa taarifa za Malimi Busungu wa Yanga kupata ajali ni za kweli, lakini mshambuliaji huyo yupo salama na gari pekee analotumia ndio limeharibika.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Malimi Busungu kwa sasa yupo nje ya kikosi cha Yanga, kwa taarifa zinazodaiwa kuwa mchezaji huyo haridhiki na nafasi anayopewa ya kucheza Yanga, lakini taarifa rasmi kutoka kwa uongozi wa Yanga zinaeleza kuwa Busungu yupo nje ya kikosi kwa matatizo ya kifamilia.
0 comments:
Post a Comment