Wizkid ameshafanya kazi na wasanii wengi nje na ndani ya Afrika kama Drake, Chriss Brown, Trey Songz na French Montana wa Marekani pia ameshasainiwa kwenye Record Label mbili ambazo ni Empire Mates Entertainment na Disturbing London Records na ya tatu ikiwa ni yake binafsi ambayo ni Starboy Entertainment.
Nikurudishe kwenye Throwback ya Wizkid kabla hajafanikiwa kuishi ndoto zake za kuwa na maisha ya kistaa. Unaweza kuitazama video hii hapa chini ..
0 comments:
Post a Comment