CONOR MCGREGOR NA EDDIE ALVAREZ WAONYESHANA UKALI KABLA YA PAMBANO LAO


Conor McGregor na Eddie Alvarez wameonyesha uwezo wao mbele ya kundi la watu katika Madison Square Garden na kuonyesha kujiamini katika pambano lao la ngumi la mchezo za UFC.

Wakali hao wa mapigano ya ngumi na mateka walijitokeza kuonyesha uwezo wao kwenye uwanja wa mpira wa kikapu wakiwa na timu ya New York Knicks na kuonyesha utaalam wao wa mapambano mbele ya mashabiki 1000.
                            Conor McGregor akiangalia mpira aliourusha na kufunga kikapu 
                                              Eddie Alvarez akionyesha uwezo wake wa kupambana
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment