Wema Sepetu baada ya kuhojiwa na Kipindi cha E News cha Clouds FM
ameulizwa kuhusu bifu lake na Muna na Kudai kuwa yeye huwa hadeal na Washamba akaongeza kusema kuwa urafiki na Muna ulikuja akijua Muna ni Mshamba lakini alikubali kuweka Ustaa Wake pembeni na kukubali awe Rafiki yake lakini mwisho wake ndio yaliyotokea.... 'Me I dont deal with washamba, i knew she was mshamba alivyokuja lakini nilisema nisiweke ustaa nimchukulie kama vile jinsi alivyo'.
0 comments:
Post a Comment