Baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika kura za Uraisi nchini Marekani, hebu pata nafasi ya kutazama mjengo ambao atakwenda kuishi Barack Obama akishatoka White House.

Mjengo huo ambao atakwenda kuishi Barack Obama pamoja na familia yake, unatajwa kuwa maili mbili kutoka na Ikulu ya Marekani “White House” huko washington DC.
Nyumba hiyo imetajwa bei yake kuwa ni £4million na ilikuwa ikimilikiwa na Joe Lockhart mfanyakazi wa White House.




0 comments:
Post a Comment