
Jeffrey Schlupp amepata ajali kwa kugonga mti akiwa ndani ya gari yake aina ya Lamborghini ambayo ina thamani ya pound 190,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 500 za kitanzania, beki huyo amepata ajali lakini yupo salama.

Jeffrey Schlupp
Kiungo huyo wa Ghana mwenye umri wa miaka 23 alipata ajali akiwa na gari lake aina ya Lamborghini, baada ya kuacha njia na kugonga mti wakati anaelekea mazoezini, Jeffrey Schlupp analipwa mshahara wa pound 30,000 kwa wiki
0 comments:
Post a Comment