CHECK MASTAA WA MAREKANI WALICHOSEMA BAADA YA DONALD TRUMP KUTANGAZWA MSHINDI



Tunaweza kubashiri kuwa raia wengi barani Afrika hawajafurahishwa na ushindi wa Mgombea wa Republican,Donald Trump aliechanguliwa kuwa rais wa taifa hilo lenye ushawishi na nguvu ulimwenguni.Kwa upande wa Wamerakani ambao asili yao si 'Amerika' hasa wenye asili ya Afrika hali mbaya zaidi.Wengi wao wamekua wakua wakionyesha masikitiko yao kwenye mitandao ya kijamii licha ya Trump kuahidi kuwa atakua Rais wa wote bila kujali waliomchagua na ambao hawakumchagua kwenye hotuba ya ushindi aliyoitoa.

Hizi ni baadhi ya 'Tweet' za mastaa wa muziki wa HIP-HOP ambao wengi wao wamekua wakipinga vikali matamshi tata na misimamo ya yake wakati wa kampeni zake.











Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment