BIBI WA RAIS BARACK OBAMA AMPONGEZA DONALD TRUMP KWA USHINDI


Bibi wa rais wa Marekani anayemaliza muda wake Barack Obama, Mama Sarah Obama amempongeza Donald Trump kwa ushindi alioupata wa urais wa Marekani.

Amemtaka Bw. Trump kufanya kazi nzuri ya kuiongoza Marekani kama alivyofanya mjukuu wake Obama, na kumtaka kuhakikisha Wamarekani wanakuwa wamoja.

Mama Sarah Obama amesema hana kinyongo chochote na ushindi wa Trump kwa kuwa rais Barack Obama amemaliza muda wake wa urais.
                            Mama Sarah Obama akiwa na mjukuu wake rais Barack Obama
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment