ALEXIS SANCHEZ AIONGOZA CHILE KUPATA USHINDI NA KUONDOA HOFU YA KUWA MAJERUHI


Alexis Sanchez ameondoa hofu ya kuwa majeruhi katika mchezo wa Arsenal dhidi ya Manchester United baada ya kufunga magoli mawili wakati Chile ikiifunga Uruguay magoli 3-1 katika mchezo wa kuwania kufuzu kutinga michuano ya kombe la dunia.

Nyota huyo wa Arsenal alifunga magoli hayo mawili katika kipindi cha pili na kuipatia Chile pointi tatu muhimu. Katika mchezo huo Edinson Cavani aliifungia Uruguay goli la kuongoza baada ya dakika 14 lakini likasawazishwa na Eduardo Vargas.
                                         Mshambuliaji Edinson Cavani akishangilia goli alilofunga
                       Alexis Sanchez akishangilia moja ya magoli aliyoyafunga jana usiku
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment