WAZIRI NAPE NNAUYE ASHIRIKI SIKU YA KITAIFA YA HISPANIA JIJINI DAR ES SALAAM


pena1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye (kulia) akigonga glasi na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(kushoto) ikiwa ishara ya kutakiana kheri wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi nyumbani kwa Balozi huyo Jijjini Dar es Salaam.
pena2
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akipiga gitaa wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
pena3
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akijadiliana jambo na Balozi wa Hispania nchini Ndg.Felix Costale Artieda(katikati) wakati wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini.
pena4
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akibadilishana mawazo na baadhi ya waalikwa wa hafla fupi ya Siku ya Kitaifa ya Hispania alipoalikwa kama mgeni rasmi na Balozi wa Hispania hapa nchini Jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment