Mambo manne usiyoyajua kuhusu wimbo wa Pana kutoka kwa Tekno


October 13, 2016 Mtu wangu wa nguvu nakusogezea hii huenda ulikua haufahamu kuhusu namna mdundo wa msanii Tekno Milles “Pana ulivyopatikana. Ukitaka kuzitaja ngoma kali sana zinazoongoza kwa kubang kwenye Radio na TV Africa nzima basi huwezi kuacha kuitaja hit single ya Pana kutoka kwa msanii Tekno kutoka Nigeria.
  1. Beat ya wimbo huu ilitengenezwa kwa dakika 30 tu.
  2. Haikutengenezwa kwaajili ya msanii Tekno, ilikua ni ya msanii mwingine ambaye aliikataa kwa kudai ni nyepesi sana.
  3. Takno aliikuta ikiwa imekamlika kila kitu na producer alianza kuidharau baada ya kakataliwa na msanii aligongewa mdundo huo.
  4. Kwa mujibu wa SoundCityTV, Pana ni wimbo unaoongoza kwa kupigwa zaidi kwenye radio station zote barani Afrika.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment