Ni Msanii kutoka Bongoflevani, Matonya time hii katuletea hii video ya single yake mpya iitwayo
‘Sugua benchi’ , video imeongozwa na director
Mims.
Unaweza ukabonyeza play kisha usisahau kutuandikia maoni yako ili mkali huyo akipita aone mlichokiandika kuhusu video hii yake mpya
0 comments:
Post a Comment