VIDEO: Dogo wa miaka 10 kasajiliwa na Juventus anatabiriwa kuwa kama Messi


Klabu ya Juventus ya Italia imeoneshwa kuvutiwa na uwezo wa kucheza soka wa mtoto wa miaka 10 Rashed Al Hajjawi raia wa Palestina aliyezaliwa na kukulia Norwaykutokana na kipaji chake.
img_5947-1
Rashed Al Hajjawi ambaye video yake imeonekana katika mitandao hivi karibuniJuventus wameonesha dhamira ya dhati ya kuanza kuhitaji huduma ya mtoto huyo ambaye anatazamiwa kuja kuwa kama mshambuliaji wa FC Barcelona Lionel Messi.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment