Maria Jose alifariki kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa kansa kwa kipindi cha miaka miwili,Maria amefariki akiwa hospital Sao Paulo Brazil, kufuatia taarifa hizo Willian ataukosa mchezo kati ya Chelsea dhidi ya Leicester City weekend hii, Chelsea imeoneshwa kuguswa na msiba wa mama wa mchezaji wao na kutuma ujumbe wa rambirambi.
Kama utakuwa unakumbuka vizuri Willian alijiunga na Chelsea mwaka 2013 akitokeaAnzhi Makhachkala ya Urusi aliyokuwa kadumu nayo kwa kipindi kifupi akiichezea mechi 11, Willian pia alikuwa sehemu ya kikosi cha Brazil kilichoifunga Venezuela goli 2-0 siku ya Jumanne.
0 comments:
Post a Comment