Rekodi za mchezaji bora wa mwezi September wa EPL


Mshambuliaji wa kimataifa wa Korea Kusini anayeichezea klabu ya Tottenham Hotspurs ya England Son Heung-min ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwezi September wa Ligi Kuu England.
Son Heung-min ambaye ameshinda tuzo hiyo ya mchezaji bora wa mwezi, amefanikiwa kucheza mechi tatu mwezi September na kufanikiwa kuisaidia Tottenham Hotspurskushinda mechi zote tatu akiwa kafunga magoli 4 na katoa assist moja.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment