Rayvanny aeleza furaha kutajwa kuwania MTV MAMA 2016


Ni mwimbaji mwingine staa wa bongofleva, makofi mengi amepigiwa kwenye utunzi pamoja na ukali wa melody, anaitwa Rayvanny kutoka WCB ambaye ngoma yake ya kwanza kuiachia toka yuko chini ya lebo ya WCB aliiachia ‘kwetu‘ April 2016.

Anazo sifa nyingine za uchapakazi pia na ndio maana leo anafurahia mafanikio/hatua yake kwa kipindi hiko kifupi ambapo October 3, 2016 alitajwa kuwania tuzo kubwa za MTV MAMA 2016 katika kipengele cha Best Breakthrough Act.
ctyazk3w8aa_xn0
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment