RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS KABILA WA DRC WASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MOU YA USHIRIKIANO NA KUONGEA NA WANANCHI KUPITIA VYOMBO VYA HABARI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
1
Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakitia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU) wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika
 Mawaziri wa Nishati wa Tanzania na DRC wakibadilishana nyaraka baada ya kutia saini mkataba wa makubaliano ya pamoja (MOU) wa utafutaji na uendelezaji wa mafuta katika eneo la upande wa magharibi mwa afrika Mashariki hususan katika ziwa Tanganyika
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila wakati akiongea na wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt John Pombe Joseph Magufuli  akiongea  Ikulu jijini Dar es salaam leo 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo

Wajumbe wakimpigia makofi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ujumbe wake wakitoka katika mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake katika picha ya pamoja Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016  
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe Joseph kabila na ujumbe wake katika picha ya pamoja na baadhi ya wanahabari Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016.PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment