Listi ya mastaa 10 wa soka wanaoongoza kwa kulipwa mishahara mikubwa

ronaldo-zlatan-messi-bale-neymar



Mchezo wa soka kwa sasa umekuwa kama biashara ambapo mastaa mbalimbali wa soka wamekuwa wakiingiza pesa nyingi kutokana na uwezo wao wa kisoka lakini pia kufanya biashara na makampuni mbalimbali sababu ya mwonekano wao wawapo ndani na nje ya uwanja na hivyo kufanya kazi kama mabalozi wa kampuni.

MO Blog imekuandalia listi ya wanasoka 10 wanaolipwa pesa nyingi katika klabu wanazochezea;

1. Cristiano Ronaldo (Real Madrid) – Pauni 365,000 kwa wiki, Pauni Milioni 19 kwa mwaka.
1. Lionel Messi (Barcelona) – Pauni 365,000 kwa wiki, Pauni Milioni 19 kwa mwaka.
3. Gareth Bale (Real Madrid) – Pauni 346,000 kwa wiki, Pauni Milioni 18 kwa mwaka.
4. Hulk (Shanghai SIPG) – Pauni 317,000, Pauni Milioni 16.5 kwa mwaka.
5. Paul Pogba (Manchester United) – Pauni 290,000, Pauni Milioni15 kwa mwaka.
6. Neymar (Barcelona) – Pauni 289,000 kwa wiki, Pauni Milioni 15 kwa mwaka.
7. Graziano Pelle (Shandong Luneng) – Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka.
7. Wayne Rooney (Manchester United) – Pauni 260,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13.5 kwa mwaka.
9. Zlatan Ibrahimovic (Manchester United) – Pauni 250,000 kwa wiki, Pauni Milioni 13 kwa mwaka.
10. Sergio Aguero (Manchester City) – Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka.
10. Yaya Toure (Manchester City) – Pauni 240,000 kwa wiki, Pauni Milioni 12.5 kwa mwaka.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment