Goli la utata la dakika za mwisho la Laurent Koscielny limeipatia ushindi Arsenal wa 1-0 dhidi ya Burnley na kunogesha maadhimisho ya miaka 20 ya kocha Arsene Wenger.
Kocha Arsene Wenger amefikisha miaka 20 akiwa meneja wa Arsenal, baada ya kuijinga na timu hiyo Oktoba 1996.
Laurent Koscielny akifunga goli la utata kwa kusukumiza mpira kwa mikono
0 comments:
Post a Comment