Watumishi wa majumbani wameandamana huko Hong Kong wakishinikiza kupigwa marufuku kitendo cha wao kulazimishwa kusafisha madirisha ya majengo marefu.
Maandamano hayo yamefuatia vifo kadhaa vya watumishi wa ndani katika miezi ya hivi karibuni vilivyotokana na kuanguka wakati wakisafisha madirisha ya maghorofa.
0 comments:
Post a Comment