Timu ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani Donald Trump imeafiki kwa kwa mara ya kwanza kabisa kuwa rais Barack Obama ni mzaliwa Marekani.
Mgombea huyo urais wa Republican amekuwa kiongozi wa harakati za uzawa ambazo zilikuwa zikihoji rais Obama ambaye alizaliwa Hawaii kama ni mzaliwa wa Marekani.
Kampeni ya Trump sasa imemtuhumu mgombea urais wa Democratic Hillary Clinton kwa kuanzisha tuhuma hizo kwa rais Obama katika mchakato wa kumpata mgombea wa urais mwaka 2008.
0 comments:
Post a Comment