TORAJAN KABILA LINALOWAFUKUA WALIOKUFA KILA MWAKA NA KUWAVALISHA NGUO MPYA


Watu wa kabila la Torajan nchini Indonesia wamekuwa wakijivunia kuwaonyesha ndugu zao waliofariki kwa kuwafukua makaburini kila mwaka na kuwavalisha nguo mpya ikiwa ni tambiko la kuonyesha heshima kwa waliokufa.

Kila mwaka kabila hilo lililopo kisiwa cha Sulawesi huwafukua watu waliokufa, ambapo huwaosha na kuwavalisha nguo mpya na kisha kujikusanya familia nzima na kupiga picha na maiti ikiwa ni tambiko lijulikanalo kama Ma'nene.
      Wazazi waliokufa wakiandaliwa baada ya kufukuliwa kwa ajili ya tambiko la Ma'nene
Wanafamilia wakipiga picha na ndugu yao maiti baada ya kumfukua, kumsafisha na kumvalisha nguo mpya
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment