Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) akisalimiana na Bibi,Monica Patricio Balozi mpya wa Msumbiji
katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha kwa Rais leo,(katikati) Balozi Mdogo wa Msumbiji
anyefanyia kazi zake Zanzibae Bw. Jorge Augusto Menezes,[Picha na
Ikulu.]07/09/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Balozi mpya wa Msumbiji katika Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Bibi,Monica Patricio mara alipofika Ikulu Mjini Zanzibar
kujitambulisha leo,[Picha na Ikulu.]07/09/2016.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Balozi mpya wa Msumbiji katika Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Bibi,Monica Patricio (wa pili kulia) akiwa na
ujumbe aliofuatana nao mara walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,[Picha
na Ikulu.]07/09/2016.
Share
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com
Phone:0719337774
0 comments:
Post a Comment