Imebainika kuwa mzozo wa maneno baina ya Brad Pitt na mtoto wake Maddox ndio uliomfanya Angelina Jolie kufungua madai ya kuomba talaka mahakamani.
Tukio hilo linafanyiwa uchunguzi na FBI, lakini moja ya chanzo kimesema tuhuma za kumpiga mtoto huyo zimetiwa chumvi.
Hapo jana polisi wameonekana wakiwasili kwa gari kwenye nyumba ya Jolie na Pitt iliyopo Hollywood Hills, ambako Pitt inasemekana anakaa kwa wakati huu.
Muigizaji filamu Brad Pitt akiwa na mtoto wake wa kuasili Maddox
0 comments:
Post a Comment