MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CJA SAMAKI


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mfia Septemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bi. Mwanalingwe Shani Juma akiwa na mwanane mchanga, Ngweshani Khatibu wakati alipotembelea wodi ya wazazi katika hospitali ya wilaya ya MafiaSptemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment