Mfalme Abdullah wa Saudi Arabia
Mahakama nchini Saudi Arabia imeagiza mwanaume mmoja kuchapwa viboko 2,000 na kifungo cha miaka 10 jela, kwa kudharau Kuraan na kutoamini kama Mungu yupo akitumia twitta yake.
Mwanaume huyo mwenye miaka 28, amehukumiwa katika taifa hilo la Kiislam, baada ya polisi kubaini kuwa katuma twitti 600 zenye kuonyesha imani yake ya kuwa hakuna Mungu.

0 comments:
Post a Comment