Mjerumani Bastian Schweinsteiger amejikuta akibubujikwa na machozi wakati umati wa mashabiki ukimuaga katika mchezo wake wa mwisho kuichezea timu ya taifa ya Ujerumani.
Mchezaji huyo wa Manchester United ameacha rasmi jana kuicheza timu ya taifa ya Uingereza baada ya kuicheza mechi 121.
Katika mchezo huo wa jana dhidi ya Finland, Ujerumani inayonolewa na kocha Joachim Low ilishinda kwa magoli 2-0.
Bastian Schweinsteiger akibebwa na kurushwa juu na wachezaji wenzake wa Ujerumani
Bastian Schweinsteiger akiwa amekumbatiana na kocha Joachim Low



0 comments:
Post a Comment