HALI YA TAHADHARI YATANGAZWA CHALOTTE KUFUATIA KUENDELEA KWA GHASIA


Gavana wa Carolina ya Kaskazini ametangaza hali ya tahadhari katika mji wa Charlotte na kutuma walinzi wa taifa, kutokana na kuendelea kwa ghasi za tukio la polisi kumuua mtu kwa kumpiga risasi .

Ghasi zimeibuka tena kwa usiku wa pili mfululizo wakati waandamanaji wakiendelea kupinga tukio la kuuwawa kwa kupigwa risasi na polisi mwanaume mmoja Mmarekani mweusi katika mji huo.
                Waandamanaji wakiangalia damu ya mmoja wa mwenzao aliyejeruhiwa 
                                      Mmoja wa waandamanaji akiwa amesimama juu ya gari 
                  Waandamanaji wakijizuia kwa nguo kuvuta moshi wa mabomu ya machozi
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment