Nyota Cristiano Ronaldo ameonyesha picha zake akijifua gym wakati akiendelea kujiweka fiti baada ya kuwa majeruhi ili kujiweka tayari kurejea dimbani na Real Madrid.
Katika moja ya picha hizo Ronaldo ambaye ni mchezaji anayependa sana kufanya mazoezi gym, anaonekana akiwa ameweka mguu wake juu ya mpita mkubwa huku akipiga push up.
Cristiano Ronaldo akijifua gym ili kujiweka fiti


0 comments:
Post a Comment