BENDTNER ATUA NOTTINGHMA FOREST


Nicklas Bendtner 
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal washika bunduki wa jiji la London,
Nicklas Bendtner amejinga na timu ya Nottingham Forest inayoshiriki ligi daraja la kwanzaEngaland. 

Nicklas Bendtner ( 28 ) amejiunga na klabu hiyo kwa mkataba wa miaka miwili. 

Mchezaji huyo alikuwa huru baada ya kumalizika kwa mkataba wake na timu ya Wolfsburg ya nchini Ujerumani msimu uliopita.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment