BALOZI WA UINGEREZA NCHINI SAUDI ARABIA ABADILI DINI NA KUSHIRIKI IBADA YA HIJA


                                  Balozi Simon Collis akiwa na mkewe Huda al-Mujarkech 
 
Balozi wa Uingereza nchini Saudi Arabia amekuwa Mwanadiplomasia wa kwanza mwandamizi wa Uingereza kubadili dini na kuwa Muislamu pamoja na kukamilisha ibada ya Hija.

Balozi Simon Collis amesema amemamua kuslimu na kuwa Muislamu baada ya kuishi miaka 30 akiwa katika jamii ya Waislamu.

Balozi Collis alionekana akipiga picha akiwa amevalia mavazi meupe yanayotumika katika Hija akiwa Makka, akitimia nguzo hiyo muhimu ya imani ya Kiislamu.
Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment