VideoMPYA: Time ya kuenjoy na ‘Sweet Mangi’ aliyoifanya mchekeshaji Joti


Msanii wa vichekesho kutokea kundi la Original comedy Lucas Mhuvile maarufu ‘Joti‘ amekuja na hii video ya wimbo wa ‘Sweet Mangi‘ ambayo ni ngoma ya msanii Nikki wa pili lakini time hii Joti kaifanyia remix. Ukiitazama unaweza kudondosha comment yako chini kuniambia jamaa ametisha kwa asilimia ngapi.



ADVERTISEMENT

Share on Google Plus

About Unknown

Unaweza kuwasiliana nasi kupitia; Email: Epyanastephene@gmail.com Phone:0719337774

0 comments:

Post a Comment